Nenda kwa yaliyomo

Sabrina D'Angelo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sabrina D'Angelo, Arsenal dhidi ya West Ham(WSL) mnamo 2023


Sabrina Victoria D'Angelo (alizaliwa 11 Mei 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kanada ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake(WSL)[2] na timu ya taifa ya Kanada. D'Angelo ni mmoja wa wachezaji wachache wa mpira wa miguu wa Kanada walioandaliwa moja kwa moja kutoka chuo kikuu.

  1. "FIFA Women's World Cup France 2019 – List of Players: Canada" (PDF). FIFA. 27 Mei 2019. uk. 5. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 27 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Sabrina D'Angelo profile". Vittsjo GIK.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sabrina D'Angelo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.