Nenda kwa yaliyomo

Bendera ya Tajikistan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:21, 25 Agosti 2024 na CommonsDelinker (majadiliano | michango) (Replacing Flag_of_the_Tajik_Soviet_Socialist_Republic.svg with File:Flag_of_the_Tajik_Soviet_Socialist_Republic_(1953–1991);_Flag_of_Tajikistan_(1991–1992).svg (by CommonsDelinker because: File renamed: [[:c:C)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Bendera ya Tajikistan
Bendera ya Jamhuri ya Kisoviet ya Tajikistan ndani ya Umoja wa Kisoviet 1953 - 1991

Bendera ya Tajikistan imepatikana tangu mwaka 1992 yaani mwaka mmoja baada ya uhuru wa Tajikistan. Ina milia mitatu ya nyekundu, nyeupe na kijani. Mlia mweupe ni pana kuliko milia mingine. Katikati kuna alama ya rangi dhahabu ya taji lenye nyota saba.

Rangi za bendera ni sawa na rangi za bendera ya Uajemi. Utamaduni na lugha za nchi hizi mbili ni karibu sana.